YUDA YEYE NI NANI?
Productinformatie
Unapofikiria jina "Yuda" unafikiria usaliti na mtu aliyemfanyia Yesu uovu. Marejeo ya Yuda katika Biblia, hayakosi kuongeza kwamba alimsaliti Yesu.
Je, haishangazi kutambua kwamba Yuda alikuwa rafiki wa Yesu?
Yuda alikuwa mmoja wa wale waliochaguliwa. Yuda alikuwa mshiriki wa karibu wa timu hiyo.
Ili kukidhi vigezo vya kuwa Yuda Iskarioti, ni lazima uwe karibu na Yesu, karibu na uongozi au uwe juu sana katika uongozi. Kifungua macho kweli!
Ufichuzi huu wa hivi karibuni wa mwandishi mashuhuri, mchungaji na msemaji wa mikutano Dag Heward-Mills, utafichua kila Yuda aliye miongoni mwenu.
GTIN:
9798896063339
MPN:
